JAMII NA MAISHA
Tuesday, January 1, 2013
SAJUKI HATUNAYE
MWIGIZAJI na mtayarishaji wa filamu
Juma Kilowoko
‘Sajuki’
amefariki dunia asubuhi muda wa saa moja kasoro akiwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili alipokuwa amelazwa .R.I.P
Older Post
Home