Monday, June 4, 2012

Mbunge wa CCM afikishwa Mahakamani

MBUNGE wa Jimbo la Bahi (CCM), Omary Ahmed Badwel (43) leo amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam na TAKUKURU.