Wednesday, May 16, 2012

AMETUNZA BIKIRA YAKE MIAKA 70

AMETUNZA BIKIRA YAKE KWA MAIAK 70

Kutoka Uingereza
Pam Shaw amekaa kwa miaka 70 bila kukutana kimwili na mwanaume yoyote.Na mpaka sasa bado hajapata mwanaume anaemfaaa kuolewa nae.
Pam anatafuta mchumba mweusi,mrefu,handsome na millionare.Anasema kwa sasa yupo tayari kuolewa na kupoteza bikira yake kwa aina hiyo ya mwanaume.