Friday, May 11, 2012

TUME ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH)kwa kushirikiana na Dar Teknohama Icubator (DTBi) na Kampuni ya Nokia wamezindua mafunzo fani ya Tehema kwa kutengeneza programu zitazotumia simu za mkononi hatua itayowasaidia vijana kujiajiri wenyewe.

Naibu Waziri wa Sayansi ya Mawasiliano,Teknolojia Tanzania, Bw.January Makamba akizungumza katika halfa hiyo